NJOMBE: JESHI la Polisi Mkoa wa Njombe, linamshikilia Vinord Ndondole ,37, mkazi wa Matemela Mbalali Mbeya kwa ...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imewashauri wazazi na walezi kuwafundisha Watoto kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba ...
SERIKALI imetoa rai kwa Wananchi kuwekeza fedha zao sehemu sahihi na salama badala ya kuwekeza fedha mahali ambapo pana ...
MBUNGE wa Hai, Saashisha Mafuwe, ameiomba serikali kuruhusu wanaume wanufaike na mikopo ya asilimia 10 kama ilivyo kwa ...
KAMPUNI ya Halotel imewakabidhi tiketi za ndege kwa washindi wa ‘Vuna Pointi Twenzetu Dubai’kwa ajili ya safari ...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amewaonya watangazaji wa  vyombo vya habari kuacha ...
JESHI la Polisi mkoani Geita limeweka wazi kuwa moja ya kiini kikubwa cha ongezeko la matukio ya wizi wa mifugo mkoani humo ...
Usaid, Malawi, Marekani, Rais wa Marekani, Donald Trump, Chuo cha Kilimo na Mali Asilia cha Lilongwe, Chuo cha Afya ...
Uvumi huo ulienea baada ya kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, akiwa pamoja na ujumbe wa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar bado ina fursa nyingi za ...
TAKWIMU zinaonesha Tanzania imepiga hatua kubwa katika uzalishaji wa chakula nchini kiasi kwamba sasa taifa linajitosheleza ...
Pia mabalozi wa Uganda, Algeria, India na Marekani waliopo Tanzania wamempongeza, Dk Emmanuel John Nchimbi kwa kuteuliwa kuwa ...