Hadi kesho ukimuuliza Dullah Mbabe anaamini ndiye mshindi wa pambano kati yake na Twaha Kiduku, lakini mwamuzi aliyechezesha Pendo Njau hakuweza kumhesabia Kiduku alivyondondoka bila ya sababu ya ...