Maelezo ya video, BBC Africa Eye: Unyanyasaji wa kingono wa wanafunzi katika Chuo kikuu cha Lagos na Ghana. 7 Oktoba 2019 Unyanyasaji wa kingono wa wanafunzi wanawake katika vyuo vikuu ni tatizo ...
Lakini darasa la Bi Lankai katika Chuo Kikuu cha Ghana katika mji mkuu, Accra, liko umbali wa kilomita 4,500 (maili 2,800) magharibi mwa mahali alipozaliwa Waswahili - pwani ya Kenya na Tanzania.