Wafanyakazi wa ndege huwa na majukumu mengi. Anaweza kuanza kwa kuhudumia chakula hadi kushika maiti wakati abiria ...
Ghana is home to rich and diverse ethnicities, with numerous groups that have coexisted for centuries. These ethnic groups have contributed significantly to the country’s cultural, political ...
Ghana don thrash Madagascar 3-0 for dia second leg of di 2026 world cup qualifiers for Morocco. Dis na afta di blackstars sama Chad 5-0 on Friday for dia qualifying game. Arsenal midfielder Thomas ...
Have you ever wondered how Ghana got its name and the meaning? Prior to gaining independence in 1957, the country was known as the Gold Coast, a name tied to its colonial past. Gold coast ...
For weeks now, Treasury Bill (T-bill) yields in Ghana have been on a downward spiral. While this spells relief for government borrowing, it also raises critical questions for investors and the ...
Katika maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, inayoadhimishwa Machi 24 kila mwaka, Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO, limetoa wito wa dharura kwa uwekezaji wa rasilimali ili ...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeweka mikakati ya kuwatafuta wagonjwa 864 wa Kifua Kikuu ambao hawajabainika ili waanzishiwe matibabu. Akizunguma leo Machi 24,2025 ikiwa ni maadhimisho ya Siku ...
Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40, hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo la kutokomeza ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030.
Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwana kuangaza namna waendesha bodaboda wanaweza kuchukua tahadhari ya kupambana na maambukizi ya kifua kikuu ...
Dar es Salaam. Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 56,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024, hii ikiwa ni sawa na punguzo la asilimia 68. Katika mgawanyo kitakwimu, ...
Tangu hapo awamu zote za serikali zimepambana kutokomeza maadui hao na bado juhudi zinaendelea na mafanikio yanaonekana kwani inaelezwa hivi sasa Tanzania imepiga hatua kubwa kupunguza maambukizi ...
Kila ifikapo Machi 24 huwa ni siku ya kimataifa ya Kifua Kikuu Duniani. Ni ugonjwa hatari unaoshambulia mapafu na maeneo mengine ya mwili. Siku hii iliyoadhimishwa Jumatatu wiki hii ilikuwa na ...