Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika - ambayo hupewa viongozi wa Afrika ambao wameonekana kuwa na utawala mzuri. Ellen Johnson ...
Mkuu mpya wa jeshi la Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore, ndiye kiongozi mdogo zaidi wa eneo hilo na mwanajeshi mwenye mkakamavu ambaye amekuwa akikosoa zaidi "mikakati isiyofanikiwa" ya ...
Taasisi ya Kiafrika inayotoa tuzo za Utawala bora ya MO Ibrahim imetangaza kukosa mshindi kwa mwaka 2016, inayotoa kwa viongozi wa Afrika waliostaafu. Toka kuanzishwa kwake mwaka 2006, imepata ...
Wakfu wa Mo Ibrahim umesema kuwa mizani ya utawala bora katika mataifa matano ya Afrika imeshuka. Kinachoshangaza ni kuwa mataifa haya yamekuwa miongoni mwa nchi zilizokuwa zinasifiwa kwa utawala ...