Maelezo ya video, Pendo Njau: Mfahamu mwanamke shupavu mwamuzi wa masumbwi Tanzania 3 Septemba 2021 Pendo Njau ni mwamuzi wa masumbwi kinara kwa sasa nchini Tanzania akiwa na rekodi ya kuchezesha ...