BBC Africa Eye spent four years following the lives of a group of sex workers in Makeni, about 200km (124 miles) from the capital Freetown. The city lies in an area rich in diamonds, which fuelled ...
BBC Africa Eye ilitumia miaka minne kufuatia maisha ya kundi la wafanyabiashara wa ngono huko Makeni, takriban kilomita 200 kutoka mji mkuu wa Freetown. Mji huo upo katika eneo lenye utajiri wa ...