Mcheshi aliyejawa na tabasamu kubwa usoni kwake. Neema Chizenga almaarufu ‘Mama Chai’, mjasiriamali mwenye ulemavu wa mguu, anayepambana kupigania ndoto zake kwa kujituma katika ujasiriamali ...